TUNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA KITABU KILICHO SUBIRIWA KWA MUDA MREFU CHA
"WAZEE NA MANABII" TAFASIRI YA PATRIARCHS AND PROPHETS, SASA
KINAPATIKANA KWA WAINJILISTI WETU WA VITABU; TAFADHALI WAONE AU TEMBELEA
ABC ZETU ZOTE ILI UWEZE KUJIPATIA NAKALA YAKO. UBARIKIWE NA BWANA.